

Maisha ni Safari Ndefu
Cool james (tamasha records), you can add this player to a website by embedding the following code:, discover more artists.

More songs by Cool James (Tamasha Records)

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists . By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

Maisha Ni Safari
Ndoa Si Utumwa by Ayubu Luvanda
Song · 7:26 · English
© 2016 Africha Entertainment (STEVE) Limited

More from Ndoa Si Utumwa
You might like, currently trending songs, top songs by same artists, top songs by same actors, ayubu luvanda.
Listen to Maisha Ni Safari online. Maisha Ni Safari is an English language song and is sung by Ayubu Luvanda. Maisha Ni Safari, from the album Ndoa Si Utumwa, was released in the year 2016. The duration of the song is 7:26. Download English songs online from JioSaavn.
7m 26s · English
FAQs for Maisha Ni Safari

Nimekuchagua Wewe

Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Verse 1 Ni safari ndefu, ya mwanadamu Maisha na mapenzi, uwe mke ama mume Mara moja kubahatika, maishani mwako Kumpata mtu fulani, ambaye huwa ni maalum kwako Kipenzi cha moyo wako, kati ya dhiki kubwa Nimetambua na kuamini, kuwa kukutana kwetu Mwanzo wa kutimia, kuwa ile ndoto yangu Ya siku nyingi, kwani pendo letu linakua Kulingana na wakati, kila siku maishani mwangu Nilikuwa na ndoto, ya kumpata wangu mwenzi Tufunge naye pingu za maisha
Chorus Nimekuchagua wewe, uwe wangu Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana Sijali mengi maneno watu wasemayo Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja Nimekuchagua wewe, uwe wangu Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana Sijali mengi maneno watu wasemayo Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
Nakupenda wewe, malaika wa moyo wangu Nakuhusudu wewe, ua la moyo wangu (Mama mia) Moyoni nina furaha tele, upo mikononi mwangu
Verse 2 Na kwa pete hii, ninakuoa Uwe mke wangu wa ndoa Hakika wewe ni ubavu wangu Kwa penzi nimefika, kama meli Nimetia nanga kwako, pengine kato sitamani Umewaacha wazazi wako, baba na mama Kwa mapendo umeungana nami Katika ndoa takatifu, na leo si wawili tena Tu mwili mmoja, tumwwombe Mungu atujalie Ndoa yenye baraka, tuje tuzae na watoto Waizunguke meza yetu, upendo utawale nyumba yetu Tuwe wa wakarimu kwa wageni wetu wote

IMAGES
VIDEO
COMMENTS
MAISHA YA NDOA NI SAFARI NDEFU na (PHIKIRI MGAYA). 49 views · 4 months ago ...more. SAVP TV. 14.6K. Subscribe. 14.6K subscribers. Like.
Nyimbo hii ni maalumu kwa watu walio katika ndoa na wanaotarajia kuingia katika ndoa ,Maisha ya ndoa ni safari ndefu sana iliyo na
Maisha Ya Ndoa Ni Safari Ndefu Ambao Hakuna Mtu Anayejuwa Mwisho Ukoje.,nawatakia Wa Chumba Na Wanandoa Wote Mchana Mwema.
Maisha ya kumpata mwenzi wako wa ndoa ni safari ndefu sana. Tazama hii video · More videos you may like · Mmesikia Unyama wa Simba kwenye Singeli
Download or listen ♫ Maisha ni Safari Ndefu by Cool James (Tamasha Records) ♫ online from ❱ Mdundo.com ❰ Stream and download high
Maisha Ni Safari song by Ayubu Luvanda now on JioSaavn. English music album Ndoa Si Utumwa. Download song or listen online free, only on JioSaavn.
WANDERI: Vijana tulizeni boli, ndoa ni safari ndefu! By adminleo; July 14, 2019. Na WANDERI KAMAU. HAFLA ya kufana ya harusi kati ya Gavana wa Kirinyaga
Maisha ya ndoa ni safari ndefu, si sahihi kwamba siku zote ndoa itakuwa na mapenzi yale yale ya motomoto au kupendana kule kule kama
6 likes, 0 comments - mwl_paul_mwita_tz on May 9, 2021: "Uchumba Ni safari ndefu kuliko ndoa. Tofauti ya uchumba Ni kwamba unakuwa na
1. Information. Album: Ndoa Si Utumwa; Genre: Gospel; Year of Release: 2015. Lyrics. No lyrics yet. Similar Songs. Ukahaba Ni Mateso | Boomplay Music
Uwe mke wangu wa ndoa. Hakika wewe ni ubavu wangu. Kwa penzi nimefika, kama